100% Natural Herbal Products — Certified & Trusted Bidhaa za Asili Zilizo Salama na Zenye Ufanisi
Bidhaa Zetu za Asili — 100% Natural & Certified
Imetengenezwa kwa mimea ya dawa iliyochaguliwa kwa makini
📦 500ml
Natural herbal solution for men facing testosterone & energy challenges.
📦 500ml
Herbal powder that helps regulate blood sugar levels naturally.
Herbal remedy for men dealing with muscle weakness and reduced physical appearance.
📦 500ml
Increases sperm count and improves male reproductive health naturally.
📦 500ml
Natural herbal tonic supporting women's reproductive and uterine health.
📦 400ml
The ultimate natural herbal medicine for men's strength and masculine power.
Mayila Herbal Clinic ni kituo cha tiba za asili kilichopo Mbalizi, Mbeya, Tanzania. Kituo kimesajiliwa na Wizara ya Afya chini ya namba ya usajili MBY/136/TP/00112/2023, na kinajihusisha na utoaji wa tiba za asili pamoja na ushauri wa kiafya kwa watu wenye changamoto mbalimbali za kiafya. Taasisi hii ilianzishwa kwa lengo la kusaidia jamii kupata tiba mbadala iliyo salama, nafuu, na yenye matokeo chanya bila madhara makubwa kiafya.
Kuunda jamii yenye afya bora kupitia tiba za asili salama, nafuu na zenye ufanisi.
• Kutoa tiba za asili salama na zenye ufanisi kwa wagonjwa. • Kutoa ushauri wa kiafya wa karibu na wa kibinafsi. • Kujenga uaminifu na matokeo chanya kwa wagonjwa. • Kuendeleza elimu ya tiba za asili kwa jamii.
Tuko karibu kukusaidia — We are here to help you
Mbalizi, Mbeya, Tanzania